Wimbo na Mama na Jesse Jackson, 1988
Kimetungwa na Courtney Brown
Mama, kwa nini walia . . . bila sauti?
Roho yako, imevurujika, ni ukweli?
Na machozi yanayochuruzika usoni,
Mama? Mama, maana?
Najua kwamba maisha ni magumu kwa wote . . .
Lakini, maisha yatapona!
America ni inchi ya machimbuko.
Jesse Jackson aligombea urais!
Alikuwa mgombeaji mzuri.
Hio indio ilikua chimbuko chake.
Mama, unalia zaidi. Kwani?
Mtoto wako anahitaji nini?
Huna sauti, mama?
Mama, tulia!
Jesse Jackson ana roho nzuri.
Yeye alijaribu!
Haya, mama, haya!
Najua, Jesse Jackson, bado kufaulu, pengine . . .
Maskini, mama. Mama, hio indio alianguka.
Pole mama.
Na mimi? Leo ni kama jana tu.
Mimi? Sina chakula kwa mtoto wako, mama . . .
Hio ni taabu ya maisha, tu.
Mama, labda machozi nimeyabaini.
Huna budi.
|