Courtney Brown, Ph.D.
H O M E
A Brief Biography
Curriculum Vitae
Career Guidance Videos
Political Music Videos
Political Music Articles
R Tutorial Videos
Data Sets and
Computer Programs
Scholarly
Speculative Nonfiction
Martin Luther King, Jr.
Adolf Hitler Psychology
JFK Assassination
The Phoenix Lights
Aliens on Iapetus!
Remote Viewing
Cydonia, Mars
Remote Viewing 9/11
The Great Pyramid
of Giza: Mystery Solved
Atlantis: The True Story
Farsight Experiments
The Crucifixion Ruse
The Farsight Institute
Links of Note
Book Reviews
Videos
Publicity Photos
Speaking Requests
Farsight Presentations
African Television
Transistence
(Sci Fi Web Series)
Music Videos

C O N T A C T
Follow on Facebook Courtney Brown
Follow on FB
Follow on Twitter Courtney Brown
Follow on Twitter
Courtney Brown on Instagram

 

 

Hakuna Nafasi

Kimetungwa na Courtney Brown

Maji ya maembe yatamu,
nikichukua wakati kula.
Lakini,
nikiyatupa tumboni
kama jiwe shimoni
yachuruzika moyoni.
Kutochukua wakati kula.

Watu wa America,
hawajui hii.
Wanakula maisha yao
na upesi.
Mpaka kila wiki
ni mwezi
ni mwaka
yanayopita
yametupwa, na pia
wamekufa,
hata walikiwa waendelea.

Rudisha mimi Africa!
Kutoka bara hii, ninaokaa.
Rudisha mimi Africa,
na nitalinda moyoni.
Maana, ninakumbuka,
kutoka zamani,
kama la embe,
ziwa la titi latamu,
nilipokuwa mtoto.

Rudisha mimi Africa!
Na nafsi yangu
itachanua tena.
Na nitaisha na watu wanaokaa na Mungu moyoni,
siku zote ya maisha.